Wakuu gari yangu aina ya IST inapata joto sana hata nikitembea umbali wa kawaida usiozidi km 05. Nikiangalia mshale wa temperature upo kawaida tu.Tatizo nikishika dashbodi ya mbele inakuwa na joto kali sana tatizo nn apo wakuu?Gari haishemshi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kidogo italipuka, used car are not goodWakuu gari yangu aina ya IST inapata joto sana hata nikitembea umbali wa kawaida usiozidi km 05. Nikiangalia mshale wa temperature upo kawaida tu.Tatizo nikishika dashbodi ya mbele inakuwa na joto kali sana tatizo nn apo wakuu?Gari haishemshi kabisa
IST tu unaitangaza jf,ingekuwa v8 niliyonayo mie ungetangaza wapi?
Haiwashi taa nyekundu inakuwa kawaida ila dashbodi sasa joto kali sanaMshale wa IST wa temperature mnautoa wapi ? mimi kwenye IST najua kuna light mbili Blue ikiwa na cold engine na Red ikiwa na hot engine, ikiwa optimum kuna kua hakuna light yoyote ya temperature.
Nenda kwa wataalamu wasome taarifa kutoka kwenye Onboard computer ya gari yako, sometimes unakuta hizi gari zimechezewa....Haiwashi taa nyekundu inakuwa kawaida ila dashbodi sasa joto kali sana
Utoto upi mkuu unauzungumzia?Huu utoto wa facebook bakini nao huko huko!
Iliwahi kunikuta kwenye carina miguu pia unaona kama inakaangwa kwa joto ,jasho mtindo mmoja me nilifanya Utanzania( niliuza)Wakuu naombeni majibu siriazi nitibu tatizo kabla mambo hayajawa mengi