Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 554
Mkuu niletee kazi hiyo, nipo GongolambotoWakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nin kifanyike?
Mkuu ungetoa ushauri ungenisaidia mkuu...Mkuu niletee kazi hiyo, nipo Gongolamboto
Nikinunua gari likapata shida hii nitarudi kucomment hapaWakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nin kifanyike?
mkuu toa ushauri wa kitaalamu ili,ukubalike kwa point zako,baada ya hapo tutakuja tu kijiweni kwako,mbona JituMirabaMinne tumemkubali kwa ushauri wake na anapata kazi nyingi..Mkuu niletee kazi hiyo, nipo Gongolamboto
Nimekuelewamkuu toa ushauri wa kitaalamu ili,ukubalike kwa point zako,baada ya hapo tutakuja tu kijiweni kwako,mbona JituMirabaMinne tumemkubali kwa ushauri wake na anapata kazi nyingi..
mimi siyo mtaalam,ila nime google tu.Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
nimeendelea ku google nikaona na picha zake,cjui kama inaweza saidia mafundi kutufafanulia kwa undani.mimi siyo mtaalam,ila nime google tu.View attachment 2646987View attachment 2646987View attachment 2646991View attachment 2646994
Mzee umepatia, mwenyewe nilikua na shida kama hii kwenye LC120, fundi akafungua kadude akakasafisha na dawa anaijua mwenyewe, RPM inakua below 1 hata nikiweka P.nimeendelea ku google nikaona na picha zake,cjui kama inaweza saidia mafundi kutufafanulia kwa undani.View attachment 2647399View attachment 2647400
fundi wa wapi mkuu,na alikuchaji sh ngapi mkuu..Mzee umepatia, mwenyewe nilikua na shida kama hii kwenye LC120, fundi akafungua kadude akakasafisha na dawa anaijua mwenyewe, RPM inakua below 1 hata nikiweka P.
pole mkuu.. IST inatumia throttle body mechanical ambayo inaendeshwa na cable.. but kwa ist because of design ya throttle body, kuna valve nyingine pembeni ya throttle body inayokuwa inawekwa kwa ajili ya ku control idle speed ya engine (silencer) hiyo valve inaitwa idle control valve.. ndan inakua ni valve (electric driven) inayo control kiwango cha hewa kuingia ndani ya injini pindi engine inapokua at idle state (ie kwenye P or N). sasa hii idle control valve because of carbon build up huwa inakumbwa na tatizo la ku-stuck open or close.. sasa hii valve iki stuck close, engine idle speed itakua chini sana na hata kupelekea injini kuzima, iki stuck open basi valve itapitasha hewa nyingi kuingia kwenye combustion chember na kufanya idle speed iwe juu.. (kumbuka hii valve pia ndo inayofanya gari ipandishe silencer juu na kushusha pale unapokua umewasha air condition)Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
Kuna nissan xtrail ina hii tabia pia. ikiwa parking au neutral ni RPM ipo 2 ila ukiweka D au R inashukaWakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
kama ni nissan xtrail ile inayokua na throttle body ya cable basi tatizo ni hiyo Idle control valve, na kama ni nissan xtrail inayokuja na throttle body ya umeme,, check throttle position sensor, check gas peddle position sensor.. mara nyingi hizi zenye throttle ya umeme huwa zina store trouble code (DTC) kwenye issue hii ili ukiweka mashine ikupe readings za trouble code. kumbuka nissan inayokuja na throttle body ya umeme issue yake baada ya ku rekebesha tatizo huwa inahitahi uweke scanner ambayo ni bi-directional kurekebisha idle speed tofuati na toyota ambayo tatizo likisha sortiwa trouble code inaondoka yenyewe (thats why i always like toyota and honda)Kuna nissan xtrail ina hii tabia pia. ikiwa parking au neutral ni RPM ipo 2 ila ukiweka D au R inashuka
shukrani mkuu.kama ni nissan xtrail ile inayokua na throttle body ya cable basi tatizo ni hiyo Idle control valve, na kama ni nissan xtrail inayokuja na throttle body ya umeme,, check throttle position sensor, check gas peddle position sensor.. mara nyingi hizi zenye throttle ya umeme huwa zina store trouble code (DTC) kwenye issue hii ili ukiweka mashine ikupe readings za trouble code. kumbuka nissan inayokuja na throttle body ya umeme issue yake baada ya ku rekebesha tatizo huwa inahitahi uweke scanner ambayo ni bi-directional kurekebisha idle speed tofuati na toyota ambayo tatizo likisha sortiwa trouble code inaondoka yenyewe (thats why i always like toyota and honda)
eti mkuu hiyo spray ya kusafishia,THROTLE INAITWAJE,je ile spray ya kutoa kutu UB40 inafaa?.pole mkuu.. IST inatumia throttle body mechanical ambayo inaendeshwa na cable.. but kwa ist because of design ya throttle body, kuna valve nyingine pembeni ya throttle body inayokuwa inawekwa kwa ajili ya ku control idle speed ya engine (silencer) hiyo valve inaitwa idle control valve.. ndan inakua ni valve (electric driven) inayo control kiwango cha hewa kuingia ndani ya injini pindi engine inapokua at idle state (ie kwenye P or N). sasa hii idle control valve because of carbon build up huwa inakumbwa na tatizo la ku-stuck open or close.. sasa hii valve iki stuck close, engine idle speed itakua chini sana na hata kupelekea injini kuzima, iki stuck open basi valve itapitasha hewa nyingi kuingia kwenye combustion chember na kufanya idle speed iwe juu.. (kumbuka hii valve pia ndo inayofanya gari ipandishe silencer juu na kushusha pale unapokua umewasha air condition)
kwahiyo kwa tatizo lako inaonekana idle control valve ya gari yako ime stuck open therefore inaruhusu hewa nyingi kuingia kwenye intake manifold na kufanya idle speed iwe juu.. ni very simple problem ambayo hata wewe mwenyewe unaweza kulitibu.. fungua hiyo idle control valve, chukua carb cleaner spray yoyote pulizia, ule uchafu ukitoka tu gari mpya.., na kama ukimpelekea fundi akusafishie basi cost isizidi Tzs 10,000.
Kwa watu wenye gari inayokuja na throttle body ya umeme hili tatizo halipo na likitokea mara nyingi utakuta mtu kasafisha ile throttle body.. so kama ni gari ya toyota na ina throttle ya umeme, ikitokea idle speed imepanda baada ya kusafisha throttle, usijipe pressure kutafuta fundi ashushe silencer, gari yenyewe itajishusha to appropreate idle speed after few days. (hii ni kwasababu ECU ita relearn new position ya throttle plate na kufanya micro adjustment until idle speed inafika to appropriate level designed for that specific engine.)
Any de- greaser spray inafaa, au throttle body cleaner...ina uzwa from 5k- 10keti mkuu hiyo spray ya kusafishia,THROTLE INAITWAJE,je ile spray ya kutoa kutu UB40 inafaa?.
Shukran Mkuu shida ilikua iko kifaa kimekufa kabisa,kilibadilishwa(used) na gari ikatuliakama ni nissan xtrail ile inayokua na throttle body ya cable basi tatizo ni hiyo Idle control valve, na kama ni nissan xtrail inayokuja na throttle body ya umeme,, check throttle position sensor, check gas peddle position sensor.. mara nyingi hizi zenye throttle ya umeme huwa zina store trouble code (DTC) kwenye issue hii ili ukiweka mashine ikupe readings za trouble code. kumbuka nissan inayokuja na throttle body ya umeme issue yake baada ya ku rekebesha tatizo huwa inahitahi uweke scanner ambayo ni bi-directional kurekebisha idle speed tofuati na toyota ambayo tatizo likisha sortiwa trouble code inaondoka yenyewe (thats why i always like toyota and honda)