Habari wana JF, nimekuwa nikitumia gari hili(Toyota vitz old model) kwa mda wa miaka4 sasa hata hivyo hivi karibuni limepatwa na tatizo ambalo kimsingi linanichanganya. >>KUSHINDWA KUPANDA MLIMA.
Aidha tatizo hili lilianza gafla ambapo nililipeleka kwa fundi na kukuta valvi moja ya imekatika, ilibadilishwa laki bado tatizo liko pale pale hivyo nashindwa kuelewa kabisa tatizo ni nini kwani ni mala ya kwanza tatizo hili linajitokeza naombeni ushauri wenu tafadhali ili niweze kufahamu ni wapi pamoja kuanzia tena ili kuepuka kuingia galama za manunuzi ya vipuli hata visivyo husika.