Hata liwe la Diesel nalo lawez kutoa cheche.. Hii hali inatokea hasa kama umesafiri umbali mrefu na ambapo masizi yanaungua sana kwenye lile bomba la kutoa moshi na ukifika sehemu ukapiga lesi basi huo uchafu unaoungua hutoka nje kama cheche za weldingGari ya petr0l bila shaka
ha ha ha ha ha unamaanisha gari jpm au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado wacha tuendelee kuisoma nambaa!!!!Hii si mara ya kwanza naona hili, tukio ni zaidi ya mara tano kwa gari kutema cheche za moto kwenye lile bomba la kutolea moshi nje (exousite) yaani cheche kama zile za mashine ya welding wakati wa kuchomelea.
Nimejaribu kuuliza sijapata majibu ya kuridhisha hivi huwa ni tatizo au ni kawaida maana nimepatwa na mshtuko isijekuwa linawaka ndani kwa ndani.
Naomba kama kuna wajuzi mnifafanulie tatizo ni nini
Jamani iyo hali siyo inaitwa back fire
Sasa Ni fireback or backfire mnatuchanganyaHiyo imaitwa fireback usiogope. Kwa magari makubwa makubwa kama subaru yanatoa moto kabisa acha hizo cheche.
Kama hivi