Gari Kutetemeka (Vibrate)

Jana wife kaaama.. IST yake ina tetemeka balaaa. Huu mtetemeko ukawa kama gari ina mis. Ingawa alitoka nayo na kurudi nayo jioni.

Leo nimekwenda kuicheki kwa fundi nikakuta wire spark plug umekufa mmoja.. ingawa plug zote nne zilikuwa ziko poa. Tulichofanya ni kwenda Tandale kwenye used. Tukanunua huu wire.. tumebadilisha na tatizo limekwisha
 
Ndo coil hio ambayo jamaa anaambia akague
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…