Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,027
Reaction score
1,869
Salaam wakuu,

Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
 
Tupe service history yake kwanza ya hivi karibuni.
 
Wewe hadi leo unatumia manual transmission ya kazi gani?!
 
Back
Top Bottom