mjusilizard JF-Expert Member Joined Nov 7, 2019 Posts 1,027 Reaction score 1,869 Apr 16, 2021 #1 Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Apr 16, 2021 #2 Tupe service history yake kwanza ya hivi karibuni.
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 May 10, 2021 #3 Wewe hadi leo unatumia manual transmission ya kazi gani?!