- tafuta fundi anyejua aina hzo za gari vizur aikague ra ajiridhishe kama ipo vizue
-mwambie akupe kopi ya kadi, nenda TRA kajiridhishe kama kweli yy ni mmiliki na kadi ni halali.
- pili nenda polisi kujua kama gari hyo ina traffic case(iliwahi kugonga, kuua na kukimbia) or polisi kesi( iliwahi kutumika kwenye wizi, ujambazi n.k)
- ukimaliza hapo mtafute mwanasheria awaandikie mkataba wa mauziano.
- rudi TRA na mkataba wako , anza mchakato wa kubadilisha umiliki