Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu we engner nin???.....Polee mkuu kwa kawaida misfire inasabishwa na spark plugs ambzo umebdlsha pia cables za moto zinazopeleka kwenye plug mojawapo inaweza kua na shda ila mara chache sana zikawa zote pia rotor inaweza ikawa na carbon itabd isafishwe na msasa ambpo mafund weng wanafanya hvyo pia uwiano mbaya kati ya mafuta na hewa ambapo ina weza sababishwa na Valve zilzokwisha au kufunguliwa, kuvuja kwa mafuta ktk injectors, airfilter kua chafu, pampu ya mafuta kutopandisha mafuta vzr au fuel filter kua chafu. Pia wiring system inaweza kua na shida, pia kuvunjika kwa pistoni au mfumo unaoambatana na piston,baridi kupita kiasi kutokana na gaskets kuisha nk ila ni vizuri kuanza na vi2 vdg vdg then ndo uchek vikubwa coz mafundi we2 c unawajua? Km tatzo lnazd jarbu kuchek kwa kompyuta.