Nozzle umechekiWakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado mis ipo vilevile.
Naombeni ushauri wakuu
HapanaNozzle umecheki
Kuondoa uchafu mkuuUliosha engine ili iweje?
Hapo ndio hua mnazingua,Nina miaka mingi barabarani na sijawahi kuosha engine hata siku 1 zaidi kuipiga upepo tu na sijawahi kupata tatizo hata 1 kisa engine haijasafishwa.Kuondoa uchafu mkuu
Kiukweli mi mwenyewe sijawahi osha,fundi akanishauri tuoshe ili kujua sehemu ambapo oil inavuja mkuu kwenye engineHapo ndio hua mnazingua,Nina miaka mingi barabarani na sijawahi kuosha engine hata siku 1 zaidi kuipiga upepo tu na sijawahi kupata tatizo hata 1 kisa engine haijasafishwa.
Learning through the hard way mkuu.
Uwe na asili ya kupeleka garage ambazo zinaweza nyanyua gari juu..mfano pale autoexpress kariakoo nikiendaga gari wakiinyanyua mimi anenda uvunguni naangalia shida shida zipo wapi narekebisha...Kiukweli mi mwenyewe sijawahi osha,fundi akanishauri tuoshe ili kujua sehemu ambapo oil inavuja mkuu kwenye engine
Mwambie fundi wako atoe ig coil zote kisha zipigwe upepo coz inawezekana zilipata maji pemben kule kpnd mnaosha engine. Ig coil hata zikiwa na matone ya mafuta au kimiminika chochote huwa inasababisha mis sometimes.Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado mis ipo vilevile.
Naombeni ushauri wakuu