Gari kuzima ukiweka gear ya reverse inasababishwa na nini?

Gari kuzima ukiweka gear ya reverse inasababishwa na nini?

Ntozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
226
Reaction score
300
Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima.

Hii kero inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom