Ntozi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 226 Reaction score 300 Feb 5, 2022 #1 Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima. Hii kero inasababishwa na nini?
Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima. Hii kero inasababishwa na nini?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 5, 2022 #2 Gari mbovu, peleka garage...
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Feb 5, 2022 #3 Hilo tatizo linamuhitaji fundi hakuna namna ya kukusaidia
Ntozi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 226 Reaction score 300 Feb 5, 2022 Thread starter #4 Smart911 said: Gari mbovu, peleka garage... Click to expand... Ahaa!
Ntozi JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 226 Reaction score 300 Feb 5, 2022 Thread starter #5 pureView Zeiss said: Hilo tatizo linamuhitaji fundi hakuna namna ya kukusaidia Click to expand... Mafundi wapo na garage zipo Hilo linajulikana,lakini hapa kwenye hili jukwaa,pamekuwa ni msaada Sana kwetu,ili hata unapoenda Kwa huyo fundi unakuwa na angalau ABC za Hilo tatizo.
pureView Zeiss said: Hilo tatizo linamuhitaji fundi hakuna namna ya kukusaidia Click to expand... Mafundi wapo na garage zipo Hilo linajulikana,lakini hapa kwenye hili jukwaa,pamekuwa ni msaada Sana kwetu,ili hata unapoenda Kwa huyo fundi unakuwa na angalau ABC za Hilo tatizo.
Richmoto Kushmoto JF-Expert Member Joined Jan 18, 2021 Posts 549 Reaction score 560 Feb 6, 2022 #6 Ntozi said: Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima. Hii kero inasababishwa na nini? Click to expand... ungesema ni gari gani mzee tuanzia hapo kwanza
Ntozi said: Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima. Hii kero inasababishwa na nini? Click to expand... ungesema ni gari gani mzee tuanzia hapo kwanza