Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

Aliyeturoga wabongo na numberplates [emoji23][emoji119]
Ukichunguza unagundua Ni masikini wanataka magari yenye namba latest Kidogo waonekane Wana pesa

Kuna muhindi flan ana viwanda maeneo napofanyia kazi ana range Rover ya mwaka 2019 alinunua 0km ila hataki shida imekula no A Safi ila pamoja na kujishusha kizuri kinaonekana Yani hata Kama hujui magari unakataa hi ngoma sio no A,B,Wala C
 
Huwezi amini huu ni ushamba na umasikini wetu

Wenzetu wanasajili gari kwa majimbo

So ni ngumu sana hata kujua latest car ni ipi

Nazani TRA nasisi wabadili walete mfumo mtu wa kusajili gari hata kwa zones

Kuna Mercedes namba B’ lkn ilinunuliwa 0km
Na kuna namba D’ ilikuja na kilometer laki na bado ikapitia zanzibar ikasoma mpk laki2 ilaletwa bongo ikasajiliwa namba E,hapo mmbongo humtoi[emoji28]
 
Ukichunguza unagundua Ni masikini wanataka magari yenye namba latest Kidogo waonekane Wana pesa

Kuna muhindi flan ana viwanda maeneo napofanyia kazi ana range Rover ya mwaka 2019 alinunua 0km ila hataki shida imekula no A Safi ila pamoja na kujishusha kizuri kinaonekana Yani hata Kama hujui magari unakataa hi ngoma sio no A,B,Wala C
Iweje gari ya mwaka 2019 ipate namba A hapa nchini? Litakuwa la deal hilo
 
Aliyeturoga wabongo na numberplates [emoji23][emoji119]
Ana taka kununua plate number iwe kwenye gari la haina iyo mengne haya muhusu[emoji81][emoji81]
1377312298.jpg
 
Back
Top Bottom