๐—š๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐—บ๐—ฎ๐—ป ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—š๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐—บ๐—ฎ๐—ป ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ

Wale wapenzi wa movie ya Batman Dark knight kama kweli mfuatiliaji wa movie za mtaalam christian Bale Kuna gari Yale aliyokuwa anatumia inaitwa Tumbler batmobile.

Unaweza kuinunua kwa bei nzuri ya dollar $2.99milioni. ni Kama ilivyo kwenye movie ila utakuwa nayo wewe sasa ambayo utaifanyia safari mbalimbali ukihitaji.



Ina injini yenye nguvu ya 6.2L V8 ambayo inatoa nguvu yenye kasi mpaka kufikia 525 horsepower. Japo kuwa sio Rahisi kuipata na kutumika mitaani.



Iko imara kwenye kupooza joto automatic wakati unaendesha ikiwa na mfumo wa GPS inayokupa location ikiwa umepotea kiti chake ni kinzuri mno kinakulinda usipatwe na mazara pale unapopata ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ