Gari la kibabe kama lote!!!

Gari la kibabe kama lote!!!

Ile clip yake alivyokuwa anaiponda hummer dah, hahaha

alafu nikweli kabisa ...kuna siku nilipanda hummer nikahakikisha ukikaa mule ndani nje unaona kwa shida.... hadi nikawa najiuliza kwenye kupaki si shuguli pevu alafu halina hata reverse camera ile ya packin siti ngumuuuu kama youtong 😂😂
 
Kuna Uzi ulikuwa unasema wanaotumia huo msemo "kama lote" et haifai kwa mwanaume
 
alafu nikweli kabisa ...kuna siku nilipanda hummer nikahakikisha ukikaa mule ndani nje unaona kwa shida.... hadi nikawa najiuliza kwenye kupaki si shuguli pevu alafu halina hata reverse camera ile ya packin siti ngumuuuu kama youtong [emoji23][emoji23]
Lile gari la jeshi, ingawa wao wanasema ni hammer 2 kwa matumizi ya raia.
 
"The Most Expensive SUV ever made..."....halafu expiry date ni just 12months tu inakuja ingine.....

This race will never end!
 
Back
Top Bottom