ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Aug 27, 2014 #21 point best kila mtu ataliona ukiendesha sasa misifa yote ya kujitangaza ndo inini kweli ni ulimbukeni kabs Gide MK said: Ulimbukeni ni mzigo kwani ukinunua gari mpaka kila mtu ajue. Click to expand...
point best kila mtu ataliona ukiendesha sasa misifa yote ya kujitangaza ndo inini kweli ni ulimbukeni kabs Gide MK said: Ulimbukeni ni mzigo kwani ukinunua gari mpaka kila mtu ajue. Click to expand...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Aug 27, 2014 #22 ndo keshaingia mchangamfu wetu warumi mtvbase said: Jukwaa lilipoa sana Click to expand...
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 27, 2014 #23 Itafahamika tu sh 5000 za box supasitaa hana majanga.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Aug 27, 2014 #24 This is job true true...
S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,627 Reaction score 1,926 Aug 27, 2014 #25 Hii kadi mi nina wasiwasi ni ya Pikipiki. Maana upande wa juu kulia kwenye details za gari umefichwa umefichwa!!
Hii kadi mi nina wasiwasi ni ya Pikipiki. Maana upande wa juu kulia kwenye details za gari umefichwa umefichwa!!