Tetesi: Gari la mafuta lateketea kwa moto muda huu hapa Mikese, Morogoro

Acha hizo, fatilia hizo ajali vizuri karibia madereva wote wanakufa hivyo vitu ulivyoandika hapo wanavifanyia wapi, Ahera?
 
Duh!!!
Morogoro hizo barabara zao zina tatizo gani? Kuna kitu hakipo sawa kuanzia labda kutokuwa salama kwenye mengi
Hayo maeneo kama sio mzoefu wa udereva huwa yanadanganya sana na barabara ina down fulani na mwinuko wa kushtukiza ndo kinachowaponza kupiga kofi
 
Hayo maeneo kama sio mzoefu wa udereva huwa yanadanganya sana na barabara ina down fulani na mwinuko wa kushtukiza ndo kinachowaponza kupiga kofi

Je, hakuna vibao vya kuonyesha hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…