Gari la Magereza lagonga treni ya abiria maeneo ya Ukonga, mtu 1 afariki dunia 10 wajeruhiwa

Gari la Magereza lagonga treni ya abiria maeneo ya Ukonga, mtu 1 afariki dunia 10 wajeruhiwa

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
643
Reaction score
1,016
BUS LA MAGEREZA LAGONGA TRAIN MAENEO YA UKONGA

=====

Gari la magereza lagonga treni ya abiria maeeo ya Ukonga na kusababisha kifocha mtu 1 a majeruhi 10, wanawake 5 na wanaume 5.

1696017685817.png


1696009173626.png
 
Inasemekana bus la MAGEREZA limegonga train ya abiria liyokua inatoka mikoani kuna majeruhi kadhaa, bado tunafatilia taarifa kamili.
 
Wote Ni serikali hao ngoja tusubili tuone RPC Atasema nini
 
Pale paangaliwe vyema....ajali mara kwa mara....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Itakuwa walikuwa wanahamisha wafungwaa ama walojeruhiwa ni wafanyakazi wa magereza?
 
Itakuwa walikuwa wanahamisha wafungwaa ama walojeruhiwa ni wafanyakazi wa magereza?
Au inside job kwamba kuna highly valuable and protected prisoner amechepushwa hapo kimyakimya? Naomba tuamini ni ajali ya kawaida ila kwanini dereva wa basi hakuwa makini kiasi hicho?
 
Muvi zinakudanganya
Nimeuliza tu halafu hayo mambo yapo. Hukusikia kuna jamaa ali fake kifo chake huko southAfrika lakini amekuja kukamatiwa hapa Arusha?
 
Back
Top Bottom