Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Au inside job kwamba kuna highly valuable and protected prisoner amechepushwa hapo kimyakimya? Naomba tuamini ni ajali ya kawaida ila kwanini dereva wa basi hakuwa makini kiasi hicho?Itakuwa walikuwa wanahamisha wafungwaa ama walojeruhiwa ni wafanyakazi wa magereza?
Muvi zinakudanganyaAu inside job kwamba kuna highly valuable and protected prisoner amechepushwa hapo kimyakimya? Naomba tuamini ni ajali ya kawaida ila kwanini dereva wa basi hakuwa makini kiasi hicho?
Nimeuliza tu halafu hayo mambo yapo. Hukusikia kuna jamaa ali fake kifo chake huko southAfrika lakini amekuja kukamatiwa hapa Arusha?Muvi zinakudanganya