Gari la makuti na miti

Mbona kazuri kweli haka ka gari kanafaa kwa utalii hapa kijijini kwetu mbunifu kajitadi sana
 
Fanyeni taratibu hata hapa kwetu vipatikane kama hivyo kwani nahisi bei yake itakuwa poa
 
Wale watu wa fire extinguishers wakikukamata nalo....duh...inabidi uwe na mtungi wa tani moja
 
Kanafaa sana kwa harusi yangu..
Lakini sijui ntampata wapi mwezi wa kuniunga mkono.
 
Mwendo wa gari 10km/hr ukienda spidi zaidi ya hapo unaacha bodi,
kimbunga kikija gari litafutie chumba cha kulala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…