Car4Sale Gari la Mama watoto: Chukua kwa TSH Milioni 3.5

Car4Sale Gari la Mama watoto: Chukua kwa TSH Milioni 3.5

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Passo iyoo ipo IRINGA Town

full AC
full Document
Bei poa Sanaa mil 3.5

𝑼𝒔𝒊𝒑𝒂𝒕𝒆 tabu pga Sim 0625750755

Screenshot_20210725-151430.png
Screenshot_20210725-151409.png
Screenshot_20210725-151359.png
Screenshot_20210725-151348.png
Screenshot_20210725-151337.png
Screenshot_20210725-151320.png
Screenshot_20210725-151257.png
Screenshot_20210725-151247.png
 
Matatzo hyo usitake kuwaachia watu,gari namba CUP hata kama umetunza vizuri,bado uchakavu unaihusu.
Hyo ukinunua Basi kubaki baada ya miaka 2 uingie gharama za mara KWA mara za matengenezo,mwisho wa siku unajikuta gharama zake jumla umenunua mpya ambapo kwa 7-8million unapata
 
Hamna Gari hapo Bali chuma chakavu kilichopigwa rangi
𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮 asante sana kwa maoni
vipi unahitaji gari aina gani nikuletee?

usisite kunitumia ujumbe 0625750755
 
Matatzo hyo usitake kuwaachia watu,gari namba CUP hata kama umetunza vizuri,bado uchakavu unaihusu.
Hyo ukinunua Basi kubaki baada ya miaka 2 uingie gharama za mara KWA mara za matengenezo,mwisho wa siku unajikuta gharama zake jumla umenunua mpya ambapo kwa 7-8million unapata
mtu anaeponda gari kwa kigezo cha namba huwa namuona zaidi ya mshamba wa magari
 
Mbona hicho kiti cha dereva naona mchoro/alama ya dushe badala ya papuchi.
Wewe sema unauza gari tu yatosha!
 
Mapenzi yote haya tunayowapa wanawake lakini bado wanatuchoma moto.
 
Imerembwa ndani na carpets za LV, na seat covers za rangi kali. Kweli, beauty is in the eye of the beholder. Wakinababa, fursa hiyo kwa mama watoto kuwa na usafiri mkali kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom