Gari la Msalaba Mwekundu lagongana na lori likienda kutafuta ndege iliyopotea; majeruhi wapelekwa JM Memorial

Gari la Msalaba Mwekundu lagongana na lori likienda kutafuta ndege iliyopotea; majeruhi wapelekwa JM Memorial

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Gari la kikosi cha Msalaba Mwekundu lililokuwa limebeba Waokoaji waliokuwa wanaelekea kuungana na timu ya uokoaji na utafutaji katika tukio la kutafuta ndege iliyopotea limegongana uso kwa uso na Lori

Mpaka sasa hakuna taarifa ya vifo na majeruhi wameumia kwa kiasi gani, lakini majeruhi 11 wamepelekwa katika hospitali ya JM Memorial iliyoko Ol Kalou kwa matibabu

Katika habari ya awali, ndege iliyokuwa imebeba watu 10 ikitokea mjini Kitale kuelekea Nairobi imepotea angani Juni 5 saa nane mchana

Taratibu za uokoaji zilianza na zinaendelea ambapo ndege hiyo aina ya Cesna C208 yenye namba za usajili 5YCAC inadhaniwa kudondoka katika eneo la msitu wa mlima Aberdares

gongana.PNG
======

A Red Cross vehicle ferrying a team that was to join the search for the missing Fly SAX plane has collided with a lorry at Kariamu Town.

11 people have been injured and have been rushed to the JM Memorial Hospital in Ol Kalou. The Kenya Wildlife Service (KWS) indicated that the search for the missing plane is ongoing around Njambini in the Aberdares.

This came after phone signals from the two female pilots were traced to the area. The National Disaster Management Unit (NDMU) said poor weather conditions are posing a challenge to the search and rescue team.

“Foggy weather in the Kinangop zone hampered search efforts but we will update you once we receive more detailed information,”

NDMU Deputy Director Pius Masai told journalists. The aircraft that had eight people onboard was enroute to Nairobi from Kitale on Tuesday. It went off radar at 5:20pm, the same time it was scheduled to land at Wilson Airport.

gongana 1.jpg
 
muokoajiinabidi akaokolewe, kweli dunia duara aisee
Anyways, pole zao nyingi sana, Mungu awafanyie wepesi huko wanakopitia
 
Back
Top Bottom