Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu.
Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na Xiaomi na kutengeneza series ya iCar mbalimbali ikiwemo SUV V23, iCar V25, iCar 03 na iCar GT zikiwa ni baadhi. Kwa lugha nyepesi, Cherry anatengeneza gari hafu Xiaomi ana deal na technology na smartcar things.
Hii iCar V23 ni SUV kama tulivyosema inakuja na battery za aina mbili (65.7kwH na 80kWh) zitakazotupatia range ya 300 km na 500 km.
Tuendelee kutafuta hela chuma zipo.
Tuendelee kutafuta hela chuma zipo.