TRA wakija wanakupiga Kodi ya $20,000 kwa gari ya $16,000. Huwa nadhani pale TRA wanaishi mashetani aiseeeKampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu.
View attachment 3053149
Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na Xiaomi na kutengeneza series ya iCar mbalimbali ikiwemo SUV V23, iCar V25, iCar 03 na iCar GT zikiwa ni baadhi. Kwa lugha nyepesi, Cherry anatengeneza gari hafu Xiaomi ana deal na technology na smartcar things.
View attachment 3053151
Hii iCar V23 ni SUV kama tulivyosema inakuja na battery za aina mbili (65.7kwH na 80kWh) zitakazotupatia range ya 300 km na 500 km.
View attachment 3053152
Tuendelee kutafuta hela chuma zipo.
Unajua kwenye mafuta wameweka Kodi kama 16 hivi, kwahio hawa mashetani wa TRA KAMWE hawatakubali kitu kama hichoSerikali ya Mama inabidi iangalie upande wa EV na kuchukua hatua stahi pamoja na kutengeneza mazingira rafiki kwa walaji kuhamia upande wa umeme lakini nachelea kusema kuwa.....
Ila kuna utamu wa kuendesha engine ya mafuta, nafkiri walioendesha pikipiki za kucharge wanaelewa
Inawezekana aiseeNasikia Electric cars zina tabia ya kulimit mwendo. Ni kweli hii?
Gari la wese ni la wese tu, imagine utamu wa land cruiser 1hz alafu uniambie iwe ya umeme 😢Gari ya umeme ina perfome kama gari ya wese tu...
Lile lina majanga mengiMchina hashindwi kitu, safi asee
Atutolee na li cyber truck ss😁😁😁
Wakati tunatoka manual to automatic wakongwe walisema auto hamna kitu.Gari la wese ni la wese tu, imagine utamu wa land cruiser 1hz alafu uniambie iwe ya umeme 😢
Hadi sasa manual ndio yenyewe, ila tutazizoea tu, uzuri wa hizi electric vehicles zinakuja na technology ya hali ya juuWakati tunatoka manual to automatic wakongwe walisema auto hamna kitu.
Ila unatakiwa kujua huwezi shindana na technology....
Umeme ndio habari ya dunia kwa sasa...
Wakati tunatoka manual to automatic wakongwe walisema auto hamna kitu.
Ila unatakiwa kujua huwezi shindana na technology....
Umeme ndio habari ya dunia kwa sasa...