Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Video iliyosambaa mitandaoni inaonyesha gari hilo, linalodaiwa kuwa na watu watatu ndani, likiwa limegongana na treni hiyo.

Chanzo: Mwananchi Digital
 
Back
Top Bottom