Watu wengi wanafikiri kwamba baada ya gari kufika bandarini, kinachobaki ni kwenda kulichukua. Ukweli ni kwamba kuna hatua mbalimbali zinazopaswa kukamilishwa kabla gari halijaweza kutoka bandarini.
Kwa ujumla, mchakato unaweza kueleweka kwa hatua hizi:
1οΈβ£ Gari linawasili bandarini
2οΈβ£ Nyaraka za forodha zinashughulikiwa
3οΈβ£ Vehicle valuation
4οΈβ£ Tax assessment
5οΈβ£ Malipo
6οΈβ£ Customs clearance
7οΈβ£ Usajili
Kila hatua ina umuhimu wake.
Kwa mfano, gari linaweza kufika bandarini lakini nyaraka zikiwa hazijakamilika. Hali hii inaweza kuchelewesha mchakato. Pia, mtu anaweza kuwa amenunua gari kwa bei nzuri lakini akawa hajapanga fedha za kodi, clearance na gharama nyingine.
Ndiyo maana ni muhimu kuangalia gharama ya jumla ya kuingiza gari, si bei ya gari pekee.
Kabla ya kuagiza gari, jiulize:
π Gari litagharimu kiasi gani?
π Shipping ni kiasi gani?
π Kodi na tozo zinazohusika ni kiasi gani?
π Clearance itagharimu kiasi gani?
π Nina fedha ya kumalizia mchakato?
### π² Unahitaji msaada?
Kama una gari unalotarajia kuingiza Tanzania au tayari limefika bandarini na unahitaji taarifa kuhusu financing ya import duty, wasiliana nasi.
WhatsApp: 0686153806