farusofia
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 539
- 553
Kama kichwa cha habari inavyosema, sina amani, ninamsubiri fundi aje anitengenezee, lakini kabla nilitaka kujua je shida itakuwa nini?
Jana mshale wa joto kwenye gari langu ulikuwa juu kupita kiasi pasi kujua. Nilipoona hivyo nikapaki pembeni, nikakaa kidogo nikalizima, baada ya muda nikajaribu kuliwasha lakini limegoma kuwaka, pia na maji vyote vipo vizuri.
Je, tatizo linaweza kuwa nini? Ni gari aina ya SUBARU LEGACY..