Kiti kikinyooka sana nayo nadhani tatizo ndo linazidi kuongezeka.
Si ndio mana ake?
mgongo ukinyooka ndio vizuri mkuu. ukipinda ni tatizo.
Habari zenu wakuu
Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari
So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua hili tatizo