Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Na gharama inaenda proportional to reward. Vyema kuwa na safe house mojaStarehe Gharama ,kama ukiamua kwenda kula mzigo inabidi ujipange mapema kwa "PAKEE".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na gharama inaenda proportional to reward. Vyema kuwa na safe house mojaStarehe Gharama ,kama ukiamua kwenda kula mzigo inabidi ujipange mapema kwa "PAKEE".
Siendi huko kufanya sex kwani nina sehemu nzuri tu ila lazima kukemea tabia za kijima kama hizi. Siyo lazima usubiri yakukute ndiyo ukemee.
Jipe moyo tuu, wanapenda korodani ile mbaya hao...Hawa ni duma. Hawana madhara kwa binadamu hata ukutane nao porini.
Acha uzamani, wakati yanaingia magari yenye automatic gear system watu waliongea sana simply binadamu ni mgumu kukubali mabadiliko lakini sasa ndio yapo ya kila aina ya gear mpaka sasa ni button tu unazungusha kama button ya redio za zamani ya volume.Ndiyo maana mnasahau! Hand brake ni nzuri. Hata ikiwa loose ni rahisi ku-note na kuirekebisha