Gari latumbukia Baharini Coco Beach

Gari latumbukia Baharini Coco Beach

Siendi huko kufanya sex kwani nina sehemu nzuri tu ila lazima kukemea tabia za kijima kama hizi. Siyo lazima usubiri yakukute ndiyo ukemee.

wewe kuchagua sehemu inayofaa kwa ajili ya jambo hilo ni dalili ya utimamu wa akili.
mbali na kwamba sheria inakutaka hivyo lakini maadili pia yanakutaka.

maadili ndio yanasababisha polisi wamrambe mwingine viboko,kwa sababu sheria inapita njia ndefu kuja kuamua haki.
 
Jamaa alitaka kupiga selfie upenuni kwa Kingo za bahari
 
Ndiyo maana mnasahau! Hand brake ni nzuri. Hata ikiwa loose ni rahisi ku-note na kuirekebisha
Acha uzamani, wakati yanaingia magari yenye automatic gear system watu waliongea sana simply binadamu ni mgumu kukubali mabadiliko lakini sasa ndio yapo ya kila aina ya gear mpaka sasa ni button tu unazungusha kama button ya redio za zamani ya volume.

Kama ni dereva mzoefu huwezi kuacha gari haipo kwenye parking brakes no matter iwe ya kukanyaga, ya kuvuta kwa mkono au button.
 
Back
Top Bottom