Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Apr 9, 2024 #1 Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Apr 9, 2024 #2 Mkalukungone mwamba said: Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji Click to expand... Lilikuwa na watu ndani au mizigo tupu?
Mkalukungone mwamba said: Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji Click to expand... Lilikuwa na watu ndani au mizigo tupu?
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 9, 2024 #3 Zanzibar ndo home
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Apr 9, 2024 #4 Wamekula mchana wakavimbiwa wakapata adhabu