Gari lililobeba masista wa Katoliki lapatikana na mafurushi ya bangi, lita 35 za chang'aa

Gari lililobeba masista wa Katoliki lapatikana na mafurushi ya bangi, lita 35 za chang'aa

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
13,149
Reaction score
6,994
Inaripotiwa kuwa gari hilo kulikuwa na abiria watatu ambao ni masista wa kanisa la Katoliki ambao walikuwa wanaelekea kwa nyumba moja ya watawa iliyokuwa katika mtaa wa Karen.

Dereva alipoona kwamba hangeweza kuendelea kuwakimbia wapelelezi ambao walikuwa wamemuandama kweli aliamua kutoka kwa gari lake na kutoweka huku akiwaacha masista wale wakitetemeka kwa woga.

Chanzo radiojambo.co.ke
 
Mwenye mzigo ni huyo dereva, kwanini akimbie, lakini unakamata bangi wakati miraa umeiruhusu?
 
Huna post zingine hadi upost hii kwani ukibebwa kwa lift ni tatizo basi peleka ikajadiliwe msikitini.
Acha udini,post kama hizi,zinasaidia watu,kuwa makini wakiomba lift,mara nyingi watu wanaingia matatizoni,bila kuhusika na hilo tatizo.Kwa ufia dini ulio nao,umeingiza mambo ya msikiti.Yaonyesha wewe ungekuwa ndio,katika waliowakamata,ingekuwa umewakamata wanawake wa kiislamu,moja kwa moja,ungewaunganisha kwenye kesi.
 
Inaripotiwa kuwa gari hilo kulikuwa na abiria watatu ambao ni masista wa kanisa la Katoliki ambao walikuwa wanaelekea kwa nyumba moja ya watawa iliyokuwa katika mtaa wa Karen.

Dereva alipoona kwamba hangeweza kuendelea kuwakimbia wapelelezi ambao walikuwa wamemuandama kweli aliamua kutoka kwa gari lake na kutoweka huku akiwaacha masista wale wakitetemeka kwa woga.

Chanzo radiojambo.co.ke
Mafioso at their best
 
Back
Top Bottom