Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kakudanganya nani? Mzigo ni wa huyo dereva.Aione sheikh wa Mkoa Dar kwenye faili
Acha udini,post kama hizi,zinasaidia watu,kuwa makini wakiomba lift,mara nyingi watu wanaingia matatizoni,bila kuhusika na hilo tatizo.Kwa ufia dini ulio nao,umeingiza mambo ya msikiti.Yaonyesha wewe ungekuwa ndio,katika waliowakamata,ingekuwa umewakamata wanawake wa kiislamu,moja kwa moja,ungewaunganisha kwenye kesi.Huna post zingine hadi upost hii kwani ukibebwa kwa lift ni tatizo basi peleka ikajadiliwe msikitini.
Mafioso at their bestInaripotiwa kuwa gari hilo kulikuwa na abiria watatu ambao ni masista wa kanisa la Katoliki ambao walikuwa wanaelekea kwa nyumba moja ya watawa iliyokuwa katika mtaa wa Karen.
Dereva alipoona kwamba hangeweza kuendelea kuwakimbia wapelelezi ambao walikuwa wamemuandama kweli aliamua kutoka kwa gari lake na kutoweka huku akiwaacha masista wale wakitetemeka kwa woga.
Chanzo radiojambo.co.ke
Mzigo ni wanani miss?Kakudanganya nani? Mzigo ni wa huyo dereva.