Hiyo truck nzuri sananyumbu ni magari yalikuwa yanatengenezwa na jeshi! kama sijakosea purposely yalikuwa kwaajili ya matumizi ya jeshi
View attachment 944688
View attachment 944689
Taarifa nilizopata ni kuwa wanawekaga sabasaba kwa maonyesho na ukitaka unauziwanyumbu ni magari yalikuwa yanatengenezwa na jeshi! kama sijakosea purposely yalikuwa kwaajili ya matumizi ya jeshi
View attachment 944688
View attachment 944689
mmmhh mbombo ngafuHabarini wakuu
Nimesikia hapo kibaha jeshi (Nyumbu) watengeneza magari mazuri na ya kiwango. Nimejaribu kuangalia website yao hata haifunguki. Nimedhamilia kwenda kuangalia product zao na kununua moja kama kuunga mkono juhudi za jeshi letu.
Please mwenye taarifa tushirikishane.
Im very serious katika hili.
Karibuni
fuatilia vizuri......Taarifa nilizopata ni kuwa wanawekaga sabasaba kwa maonyesho na ukitaka unauziwa