Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION liwe katika hali nzuriNk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578