Ellie Senior Member Joined Sep 2, 2011 Posts 123 Reaction score 15 Sep 13, 2011 #1 Wana JF nahitaji kununua Toyota Chaser SX 100 cc 1800 kwa bei poa, kama kuna mdau anaweza nifanyia mambo tuongee biashara.
Wana JF nahitaji kununua Toyota Chaser SX 100 cc 1800 kwa bei poa, kama kuna mdau anaweza nifanyia mambo tuongee biashara.
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,066 Reaction score 294 Sep 13, 2011 #2 ni PM nitakusaidia kuna mtu anazo.Kwani huko wapi?