Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue.
Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika moto kisawasawa?
Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika moto kisawasawa?