Nejad Rocket JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 298 Reaction score 197 Feb 4, 2018 #1 Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue. Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika moto kisawasawa?
Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue. Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika moto kisawasawa?