Nashukuru sana, ila suala hili linatakiwa lifanywe kwa mtaalamu aliyebobea, kwa hapa DAR, hasa Temeke, garage ipi inafaa.Piston ring zimekwisha mkuu, nenda kwa fundi akakuchekie kama kuna uwezekano wa kuwekwa ring standard kama haiwezekani inabidi afanye overhall ya ingine.
Expire date,,...!!!!!, inaangaliwaje hii, niko blind ktk masuala haya ya magari.
Nashukuru sana, Diagnosis inafanyiwa wapi na gharama zinafikia kiasi gani.
Naomba msaada wa kiufundi, Gari langu linatoa moshi japo kidogo, pia linatumia fuel 8 km kwa lita, SPECIFICATION Spacio old model Petrol fuel SHIDA YA GARI INAKULA MAFUTA SANA INATOA MOSHI MSAADA JAMANI, shida ni kitu gani kwenye gari hili na nifanye nini?
Jaribu kufanya diagnosis.......utajua tatizo la gari......hii labda labda unaweza kuchokonoa na vingine.......
Kwani mkuu hilo gari umelinunua karibuni? Gari kutoa moshi kuna sababu kubwa mbili moja oil inaunguzwa pamoja na mafuta, pili uwiano wa mafuta na hewa siyo mzuri (rich mix). Oil ikiungua moshi utakuwa mweupe na mafuta yakizidi moshi unakuwa black.Na vipi hili la kutumia km 8 kwa lita moja. au normal inatakiwa iwe kiasi gani
Hebu fafanua mkuu kuna magari mengi yapo barabarani yana zaidi ya Kilometa million moja.Angalia speedometer/odometer mkuu
Piston ring zimekwisha mkuu, nenda kwa fundi akakuchekie kama kuna uwezekano wa kuwekwa ring standard kama haiwezekani inabidi afanye overhall ya ingine.
Tatizo la gari lako itakuwa ni valve seal zimeanza kuzeeka.Jamani mimi asubuhi nikiwasha gari inatoa moshi mweupe kama sekunde 30 hivi then unakata nikipiga lesi kama mara tatu hivi sioni moshi ila yanakuwa yanadondoka maji maji hii inaweza kuwa ni tatizo.
Ila huo moshi sio kila siku nauona au kwa sababu ya baridi kali huku niliko ??