Gari linatoa moshi, msaada wa kiufundi unahitajika


Nipigie simu
 
Same to me kaka your problem acha tuwasikilize wataalam
 
Gari yangu asubuhi nikiiwasha inatoa moshi mweupe halafu baada ya muda unakata wenyewe,

Me sio mechanic lakimi sidhani kama hilo ni tatizo, huko ni mvuke/maji. Gari inavyounguza mchanganyiko Wa hewa na Petrol ambayo ni organic in nature product yake baada ya kuunguzwa katika combustion chamber ni Carbon dioxide CO2 na Maji H2O. Hiyo inamaanisha engine yako iko vizuri sana. (Naomba nirekebishwe kama nimemislead sehemu)
 
Hiyo injini ni R.I.P. Fanya mpango wa kununua nyingine tu... Au kama vipi nenda kachonge block ufunge piston mpya na ringis mpya. yani ufanye overhaul...
 
ni muhimu kujua rangi ya moshi kwa sababu kila rangi ya moshi ina maana yake kwa injini ya petroli na diesel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…