Car4Sale Gari linauzwa Moshi

Car4Sale Gari linauzwa Moshi

ndagoTV

Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
10
Reaction score
17
Gari linauzwaa moshi Million 5, ina kila document muhimu inayohitajika.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0628239332

IMG-20230914-WA0001.jpg
IMG-20230914-WA0002.jpg
IMG-20230914-WA0003.jpg
IMG-20230914-WA0004.jpg
IMG-20230914-WA0005.jpg
IMG-20230914-WA0006.jpg
IMG-20230914-WA0007.jpg
 
Zamani Moshi kulikuwa na namba za usajili wa magari.
MSB....tafsiri yake..Mchaga Si Binadamu.🙂
Yeah 5m.
 
Hakikisheni haivuki machame wala njia panda, nunueni hapo hapo uchagani, hatutaki hii gari sehemu nyingine za Tanzania.

Kama ni marangu au Rombo, ikifika njia panda tafuteni grader muibebe msiiendeshe, yani ikae uchagani hapo hapo.
 
Achia Rizki za watu mkuu
 
Back
Top Bottom