Car4Sale Gari linauzwa Moshi

Zamani Moshi kulikuwa na namba za usajili wa magari.
MSB....tafsiri yake..Mchaga Si Binadamu.🙂
Yeah 5m.
 
Hakikisheni haivuki machame wala njia panda, nunueni hapo hapo uchagani, hatutaki hii gari sehemu nyingine za Tanzania.

Kama ni marangu au Rombo, ikifika njia panda tafuteni grader muibebe msiiendeshe, yani ikae uchagani hapo hapo.
 
Achia Rizki za watu mkuu
 
Hizo gari za wilayani Zina wafaa kina mpwayugu village kubebea wachungaji
 
Hii gari nina historia nayo Mbaya sana, siwezi endesha hii gari, ni nyepesi sana, inawafaa wachaga wanaotoka uchagani na kuja moshi mjjni na kurudi.
Uchagani ni wapi na moshi mjini ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…