Imetembea km 246980 , Ina vibali vyote vya taxi cab vinavyoishia Dec 2013, imesajiriwa kituo cha Mabibo Hostel. Kama imeipenda tufanye biashara piga simu zifuatazo:0715 946 905/0755 946 905.Angalia picha zilizoambatanishwa.
Mkuu kama unataka kuiuza kiurahisi badilisha rangi na urudishe private number from commercial plate number.
La sivyo hapa utakesha.
Maoni yangu tu hayo lakini.