Ilikuwa inafanya kazi za kiofisi mkuu, kubeba staff n.k. Haijawahi kufanya kazi yoyote ya kubeba wagonjwa.
Wakuu msimbeze,hizi gari ni ghali sana.
We ingia kwenye website za hapa uone bei zake.
Uimara wa Landcruiser wa 2004 usilinganishe na roho ya paka Mkonga ya 1999
mkuu ukipita sokoni ndio utajua bei za izi gari...Hiyo sio gari ya kuuzwa bei hiyo...Hela ya sio ya mchezo. Tusidanganyanye
nachoona kwa wachangiaji ni kutokujua bei za magari na thamani zake....
Unaeza kuta jamaa kanunua yalee magari ya laki 5 (ya serikali) afu anapiga m48, inchi hiii mmweee
Unaeza kuta jamaa kanunua yalee magari ya laki 5 (ya serikali) afu anapiga m48, inchi hiii mmweee
Mwaka 1999 imetembea km 78000 tu duh hapana kwa kweli
mkuu naomba kujua, iyo gari ni koili / spring? mm sio mwenyeji kwenye landcruiser ila kuna ndugu analitaka, je alidaiwi kodi?? ofa inaweza kushuka kidogo? waweza pm au apapa.... shuka kidogo tufanye bzness...
Labda lakini sio kila Cruiser inabeba sifa na ubora wa Cruiser!!!!
Mathalani kama cover tu ambayo tarditionally ni grey hapo iko maroon mie naanzia doubts hapo!!!