multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
1999 Toyota Land cruiser (mkonga), 4 wheel drive linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri sana. Limefanyiwa maintenance service hivi karibuni (front brake pads,wheel alighment, front stabilizer link, engine oil, oil filter, diesel filter na front bar bush) Ni manual transmission. Limetembea km 79,000. Insurance na road license zimelipiwa. Gari lipo Dar es salaam. Bei ni shilingi milioni 48 (maelewano yapo). Kwa mawasiliano napatikana kwenye simu # 0687 609 333 au 0756 609 333
Huwezi elewa hiyo lugha hata ukija uchi wewe na bibi yako kama ney pia ni bikra!!!!Tatizo na we ka bikira mtongozo kidogo , aku aku mi sitaki kibao!
Mtaishia vipaso na vikei tu nyambafuuuuuuu!
Hauzi 48 kwa jinsi alivyoiweka suala sio Cruiser tu na Hz basi ndio bei iwe utakavyo!!!Kama huna kapiriensi na mandinga tulia hilo gari very expensive kwa hiyo bei wakija wenyewe kesho hulikuti!
Hiyo ni gari ya kazi, kama unataka kuirefusha utaingia 20m ingine.....imagine....je italipa kwa cruiser ya 1999? wakati kwa 78M uapata kisu kabisa?Tatizo na we ka bikira mtongozo kidogo , aku aku mi sitaki kibao!
Mtaishia vipaso na vikei tu nyambafuuuuuuu!
Hiyo ni gari ya kazi, kama unataka kuirefusha utaingia 20m ingine.....imagine....je italipa kwa cruiser ya 1999? wakati kwa 78M uapata kisu kabisa?
Ukinunua gari used kwa serikali then ukaifanyia recondion, usifikiri vichwa vinavyojua magari vitakuamini kwamba umeweza kuirudisha kwenye mstari....ni afadhali uiache hivyohivyo bila kuweka mbwembwe kabisa.
Fikiria kama naitaka ya Tours, sihitaji viti vyako....kama umeingia mfukoni kutengeneza viti na covers...hiyo gharama kwangu siwezi kui-coer kwasababu sivihitaji anyway......ushanipata??!!
hilo goma kama 1HZ imesimama sawasawa....aanze 35m.