Gari Linauzwa
Member
- Aug 9, 2016
- 9
- 1
Atakuambia bei ni siri umfuate privatehakuna bei mkuu?
Ni kweli hamna bei, kama mtu anahitaji tumeweka namba ya mawasiliano. Awasiliane nasihakuna bei mkuu?
Asante kwa kunielewaAtakuambia bei ni siri umfuate private
Hamna utapeli kama unahitaji ndio maana namba ya simu ipo usiwe mswahili ukapenda mazoeaGari nzuri, ila tuwekee bei. Au unataka kututapeli? Kwa nini bei iwe siri?