Gari linauzwa

manyusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
292
Reaction score
170
Toyota Mark II GX 100 inauzwa Tsh 6,500,000/=
Rangi;Silver
Manf date;1998
Fuel;Petrol
Status;Iko kwenye hali nzuri

For serious buyers call 0713876210
 
Manyusi, umeacha kuuza furniture sasa hv unauza magari mkuu?:teeth:
 
Sababu ya kuuza? Ungeweka picha ingekuwa bora zaidi!
 
Toyota Mark II GX 100 inauzwa Tsh 6,500,000/=
Rangi;Silver
Manf date;1998
Fuel;Petrol
Status;Iko kwenye hali nzuri

For serious buyers call 0713876210

gx mia kwa bei hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…