Gari lipo au?

Joined
Jun 30, 2017
Posts
69
Reaction score
21
Jaman wana JF kama kuna mtu anauza gari yoyote ile iwe ina vigezo vyote vya serikali bei iwe kuanzia mil 30 na kuendelea lakini iwe sawa na mpya isiwe na matatizo kama kuna mtu anayo basi mwambie aendelee kuiuza mm sina hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NIPO HAPA NIMELALA TU
 
Ukitoka mirembe, uje ufanye editing kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…