Gari mbili zenye usajili wa kufanana

kwani wale wa SSH 20 30 hawafanani? magari yote mpaka bajani ni hivyo tu na ole wako uwaguse mapolisiisiiemu wanawapigia saluti, kuna majizi mauza unga mauza nyaapu nchi imechanganyikiwa.
 
Mmmmh we jamaa ulieanzisha uzi...
Mbona kama nakupata hii mada nimejadili jana usiku na wadau huwenda ww ni miongoni wao nn
 
Kuna umuhimu gani wa kuji-expose kihivyo?Wanafanya mambo yao kijima sana na kwa maonesho bila weledi.Rules are rules! Without rules we are all savages!
 
Magari ya Polis pale Kisutu Jana asilimia kubwa haya kuwa na namba kabisa.
Kwasasa ukitaka usisumbuliwe na mapolisi hasa barabarani, we toa namba kabisa (ila uwe na gari lenye hadhi kdg na jipya) tutaenda kwa spidi utakayo na utosumbuliwa point yoyote. We angalia kwa sasa Kuna utitili wa magari yasiyokuwa na nambari mabarabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…