Gari mbili zenye usajili wa kufanana

Halafu huu Uzi utafutwa muda so mrefu. Asubuhi uliletwa na ukafutwa chap chap. Nadhani upo kwasababu wenye switch wamelala sasa hivi
 
Kweli KABISA .Mfano Mimi nilipokuwa na ist nilikuwa nasumbuliwa sana barabarani na hawa askari barabarani lakini baada ya kununua V8 hawanisimamishi kabisa.V8 NI KIBOKO YA ASKARI BARABARANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…